Home Podcasts MAELEZO PODCASTS
MAELEZO PODCASTS

MAELEZO PODCASTS

Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) 11 Episodes Oct 2, 2026

Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.

Episodes

Huduma ya Mama Kujifungua Bila Maumivu Yaanza Kutolewa Tanzania
Huduma ya Mama Kujifungua Bila Maumivu Yaanza Kutolewa Tanzania Oct 2, 2026 1638 Dkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii kitaalamu ikifahamika epidural.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Fursa za Kimawasiliano Zilizopo Nchini Hivi Sasa
Fursa za Kimawasiliano Zilizopo Nchini Hivi Sasa Sep 25, 2026 2510 Mzungumzo na Mhandisi Asajile John kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu hatua iliyopigwa na Tanzania kimawasiliano, fursa za kimtandao zilizopo kwa sasa.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Si kila mtu au kila mahali unaweza kurusha droni, kwa nini?
Si kila mtu au kila mahali unaweza kurusha droni, kwa nini? Sep 18, 2026 2683 Mazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za usajili wa droni na utaratibu wa kufuata ili mtu aweze kupata leseni ya kurusha droni.Unaweza kutazama Episode hii pia kupitia chaneli ya Youtube "Maelezo TV".Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Je, Tanzania atahodhi mchezo gani AFCON, Ufunguzi au fainali?
Je, Tanzania atahodhi mchezo gani AFCON, Ufunguzi au fainali? Sep 14, 2026 2537 Mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa kama vile maandalizi ya AFCON 2027, mipango ya serikali kuhusu mvua za El Nino, maadili na miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Tahadhari ya Mvua za El Niño Kuanzia Oktoba, 2026
Tahadhari ya Mvua za El Niño Kuanzia Oktoba, 2026 Aug 31, 2026 3377 Kufuatia tahadhari iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Nino, kupitia Maelezo Podcast ili kupata ufafanuzi tumezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a ambaye anaeleza kuhusu mvua hizi zinavyotokea na tahadhari za kuchukua.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Aina Tatu za Saratani Zinazoathiri Maisha ya Wengi Nchini.
Aina Tatu za Saratani Zinazoathiri Maisha ya Wengi Nchini. Aug 29, 2026 3083 Katika kujenga uelewa kuhusu ugonjwa wa saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Dkt. Chrispin Kahesa, tumezungumza kuhusu saratani na namna inavyoathiri makundi mbalimbali katika jamii, jitihada za kuzuia na tiba ya saratani.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Changamoto ya Afya ya Akili, ni Akina Nani Waathirika Zaidi?
Changamoto ya Afya ya Akili, ni Akina Nani Waathirika Zaidi? Aug 21, 2026 3885 Kupitia Maelezo Podcast tunajadili kuhusu afya ya akili kwa kumualika Daktari Veronica Lyimo, Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili kutoka Taasisi ya Afya ya Akili Tanzania, ambaye anatupitisha kwenye visababishi vya changamoto ya afya ya akili, dalili, utofauti wa ugonjwa wa akili na changamoto ya afya ya akili na namna ya kukabiliana na changamoto hizo.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Kwanini ni marufuku kutunza kwa kutupa fedha chini?
Kwanini ni marufuku kutunza kwa kutupa fedha chini? Aug 17, 2026 3458 Mazungumzo na Bw. Atufigwege Mwakabalile, Afisa Mwandamizi wa Benki kutoka Benki Kuu Tanzania (BOT) kuhusu sheria ya fedha nchini na marufuku iliyotilewa ya kutotunza fedha kwa kutupa chini.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Sheria ya Kuasili Mtoto (Child Adoption) Tanzania
Sheria ya Kuasili Mtoto (Child Adoption) Tanzania Jul 31, 2026 2024 Kupitia MAELEZO PODCASTS leo tunazungumza na Bi. Ludovicka Samare, Afisa Ustawi Mwandamizi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, anatupitisha kwenye utaratibu na Sheria ya kuasili mtoto (Child Adoption), nchini Tanzania Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji
Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji Jul 24, 2026 2704 Mazungumzo na Imani Mhingo, Mtaalamu wa Elimu ya Fedha na Mitaji ya dhamana kutoka Benki ya CRDB kuhusu elimu ya hisa; nani anatakiwa kuwa na hisa? uvumi upi usio wa kweli kuhusu hisa? Angalizo na namna ya kutengeneza faida kwa njia ya umiliki wa hisa.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Tiba ya Upandikizaji wa Uume kwa Wanaume
Tiba ya Upandikizaji wa Uume kwa Wanaume Jul 17, 2026 3017 Dkt. Rugakingira kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha kwenye huduma hii iliyojizolea umaarufu ya upandikizaji wa uume kwa wanaume wenye changamoto za uzazi. Amejibu kuhusu nani anaweza kupandikiziwa uume, gharama na matarajio baada ya huduma.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali
Ukweli Kuhusu Faida za Vyama vya Ushirika
Ukweli Kuhusu Faida za Vyama vya Ushirika Jul 13, 2026 2752 Mazungumzo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw. Florian Haule kuhusu ushirika na ukweli wake vile umesaidia kuinua uchumi wa Watanzania tangu zamani hadi sasa.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali

Recommended