
Watushule Swahili Podcast
Podikasti ya Watushule inawalenga watu wanaotaka kuishi maisha yenye mwelekeo na uelewa mzuri. Kila kipindi kinazungumzia mambo muhimu kama kusudi, nidhamu, utambulisho, kazi, na hali halisi ya maisha ya Mwafrika katika dunia ya leo. Hii si motisha bali ni fikra. Inalenga wale wanaohisi kuna zaidi katika maisha kuliko yale waliyozoea.
Episodes
Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.
Kanuni ya ufanisi wa Pareto inasema asilimia themanini ya matunda inatokana na asilimia ishirini ya mbegu au juhudi. Hii ni kwenye kazi, biashara, mahusiano au afya yako. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com
Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi.
Pesa, ujuzi na mahusiano vinahitaji kukua. Na namna bora zaidi ya ukuaji ni kwa mfumo wa riba juu ya riba kwa pesa, ujuzi juu ya ujuzi na mahusiano juu ya mahusiano. Hili ni wazo la compounding kwenye maisha ambaoo Albert Einstein aliwahi kusema ni ajabu la nane la dunia. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.w
Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.
Watu wengi tunafanya maamuzi binafsi kwa kufuata mkumbo wa watu. Tunaogopa kufanya maamuzi yetu au tunakubali kufanya maamuzi ya familia na jamii kwa kuogopa kuoishana nao.Madhara ya maamuzi hayo huwa yanarudi kwetu na yanakuwa na mdhara ya muda mrefu sana au ya milele. Kwenye episode hii tutaangalia namna ya kujifunza kufikiria kinyume na makundi au kujiuliza kama maamuzi unayofanya ni binafsi au
Usitafute mafanikio. Tafuta njia za kutokufeli
Kuna vitu vingi sana vinahitajika kutokea kwenye maisha kuketa mafanikio. Na vitu hivi havipo kwenye uwezo wetu muda mwingi. Lakini kuna vitu vingi sana ambavyo vinafelisha watu, hivi vitu ni rahisi kuviona na kuvifanyia kazi. Episode ya leo tunaangalia kwa undani modo ya kufikiria (mental model) ya kuwaza vitu kinyume. Badala ya kuangalia vitu vya kusaidia mafanikio tunaangalia vitu vya kuzuia ku
Malengo yanakusaidia kuanza. Mifumo inakusaidia kumaliza.
Wengi wanaishi na ndoto ambazo hazina malengo. Wenye malengo hawana sababu yenye nguvu zaidi kuwafanya wavumilie mambo yakiwa magumu. Wenye sababu hawana mfumo mzuri wa kutimiza malengo hayo. Episode hii inaangalia namna bora ya kutengeneza malengo na mifumo ili kutimiza ndoto na matamanio yetu duniani. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get acces
Kuna tofauti kati yako na kazi yako
Katika episode hii ya Watushule, ninatafakari maana ya kazi kupitia hatua mbalimbali za maisha.Kutoka kazi za shambani utotoni, kuuza matunda na mboga kwa ajili ya pesa ya matumizi, hadi maisha ya kazi katika mazingira ya kitaaluma na safari ya kujenga miradi mbalimbali huku nikirudi tena na tena kwenye upendo wa usimulizi wa hadithi, episode hii inaangalia ukweli mmoja muhimu:Kuna tofauti kati ya
Kutokuwa na ugonjwa haimaanishi una afya
Nini maana halisi ya kuwa na afya?Katika kipindi hiki cha Watushule, natafakari maisha ya bibi yangu Anna, ambaye aliendelea kuwa mwenye nguvu, mwenye bidii, na mwenye utulivu wa ndani hata hadi uzee. Katika siku yake ya kuzaliwa ya miaka 100, nilipomuuliza siri ya afya yake, alitabasamu na kusema, “Mimi ni binti mpendwa wa Mungu.”Miaka mingi baadaye, baada ya kifo chake, jibu hilo lilianza kuwa n
Mahusiano ni muhimu sana kwenye maisha, na bado ndio chanzo cha maumivu makubwa sana kwa watu.
Mahusiano ni muhimu zaidi kwenye maisha, na ndio yenye changamoto zaidi maishani.Kwenye episode hii ya Watushule Podcast tunaangalia misingi mikuu ya mahusiano: Familia, marafiki na mapenzi.Kwa kuangalia historia za familia, filosofi na mifano hai, episode hii inaangalia namna gani familia inaweza kukujenga au kukharibia msingi wa maisha yako. Tunaangalia namna wewe ni wastani wa marafiki zako wat
Mambo Muhimu Maishani Huja kwa Utatu, Lakini Maisha Huja Mara Moja Tu
Kipindi cha 2: Mambo Muhimu Maishani Huja kwa Utatu, Lakini Maisha Huja Mara Moja TuKatika kipindi hiki cha Watushule, tunaacha Kidogo Kungwi’s kwa undani zaidi katika nguzo tatu za maisha — mahusiano, kazi, na afya — ili kuukabili ukweli unaozipa mambo hayo uharaka na muhimu wake: KIFO kwa mwanadamu.Maisha hubadilika kwa misimu. Katika hatua tofauti za maisha, mambo tofauti huwa na uzito tofauti.
Vitu vya muhimu kwenye maisha vinaonekana kuja kwa tatu
This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com











