Home Podcasts Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Hefsiba Nzali 7 Episodes Jul 15, 2026

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency, sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga. Podikasti hii inajikita katika ku-level up sectors zote za maisha ili kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa bure. Mada zinazojadiliwa ni pamoja na mahusiano, kimuonekano, hisia, urembo, usafi halisi, sex psychology, wanaume na nafasi yao, pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi soft.

Episodes

Avoidant & Anxious attachment issues pt2
Avoidant & Anxious attachment issues pt2 Jul 15, 2026 4261 Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi ila haupati outcomes unazohitaji YOU ARE THE PROBLEM ,attachment issue can hidden like confident or ego too.. hii ep ni kwa ajili yako.
Avoidant & anxious attachment issues, pt1.
Avoidant & anxious attachment issues, pt1. Jul 12, 2026 1483 Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wengine bila hata kujua.... hii ni pt1.
Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake
Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake Apr 24, 2026 3750 Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.
The best Sex
The best Sex Apr 11, 2026 1093 Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..
Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness.
Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness. Mar 14, 2026 2853 self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.
Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.
Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia. Feb 2, 2026 1532 Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila sikuepisode hii ni kwa ajili yako.
Jinsi ya kuwa Self Obsessed
Jinsi ya kuwa Self Obsessed Jan 23, 2026 998 Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.Utajifunza –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke– Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia– Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumlaKama umewahi kujisahau ili upendwe au u
Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!
Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026! Jan 13, 2026 1125 Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.
Unatambua thamani yako?
Unatambua thamani yako? Jan 8, 2026 341 Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. Mor

Recommended