
Mwangaza Institute
Mwangaza Institute ni taasisi inayuelimisha jamii kuhusu misingi ya maisha: imani, mapenzi na uongozi. Kila wiki podcast hii inajadili kwa lugha rahisi jinsi ya kuimarisha imani, kujenga mapenzi ya kweli na kuelewa siasa bila chuki. Lengo ni kujenga jamii yenye nuru, ikiwa na mizizi Zanzibar kwa ajili ya Afrika yote.
Episodes

The foundation
Matatizo Manne yalopelekea kuanzisha Project hii











