
JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO MAKUBWA
Podcast hii inahusu jinsi ya kufikia malengo makubwa kwa kuanza na hatua ndogo. Inatoa mwongozo wa kutumia jitihada za kila siku ili kusonga mbele kuelekea mafanikio. Msisitizo upo kwenye uthabiti, nidhamu, na uvumilivu. Inahimiza kuanza kidogo na kuendelea bila kukata tamaa ili kuona mabadiliko makubwa maishani.
Episodes

JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO MAKUBWA
Mafanikio huanza na hatua ndogo. Katika episode hii, tunazungumzia jinsi ya kutumia jitihada za kila siku kufikia malengo makubwa. Anza kidogo, kuwa thabiti, na utaona mabadiliko makubwa maishani mwako.











