Home Podcasts Nendiwe Podcast
Nendiwe Podcast

Nendiwe Podcast

Nendiwe Podcast 1 Episodes Oct 30, 2026

Nendiwe Podcast inaongozwa na Mary Rusimbi na inalenga kupanua maarifa, uelewa na uchambuzi wa kina kuhusu ustawi, utunzaji na uponyaji kwa mtazamo wa kifeminia. Kupitia mazungumzo haya, wanahoji na kufumua mifumo ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni inayochangia kudhoofisha ustawi wa wanawake na wasichana. Podcast hii inahamasisha mabadiliko yanayojenga ustawi wa kifeminia, haki, utu na maisha yenye usawa.

Episodes

UFEMINIA NI NINI?
UFEMINIA NI NINI? Oct 30, 2026 4584 MADA: UFEMINIA NI NINI? KWANINI BADO UNAHITAJIKA LEO? Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inakukutanisha na Prof. Ruth Meena na Mary Ndaro kulizungumzia hili kwa kina.  Upande wa Sauti ya Mwanamke tutakuwa nao Hellen Sisya na Binti kutoka kwa Aluwa Karibuni sana mjumuike nasi mwanzo hadi mwisho.
KARIBU NENDIWE
KARIBU NENDIWE Oct 24, 2026 4747

Recommended