Home Podcasts Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania 300 Episodes Aug 25, 2026

Podcast hii inaelezea historia na maendeleo ya Radio Maria, redio ya Kikatoliki iliyoanzia Italia katika miaka ya 90 na kuenea katika mabara yote. Inasimulia jinsi Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilivyozaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN yenye makao makuu huko Roma. Pia inajadili ushirikiano kati ya redio mbalimbali za Radio Maria duniani, chini ya uelekezi wa Radio Maria Italia, na jinsi zinavyotekeleza mradi wa kimisionari na kujibu maombi ya waumini. Inasisitiza umuhimu wa kudumisha uhalisi wa chapa na kutoa usaidizi wa kiufundi kwa redio zote katika familia hiyo.

Episodes

KIPINDI HEWANI: MAISHA NI SAFARI – BI JUMBE – 2
KIPINDI HEWANI: MAISHA NI SAFARI – BI JUMBE – 2 Aug 25, 2026 54:06 KIPINDI HEWANI: MAISHA NI SAFARI MSIMULIAJI: BI JUMBE 2 KILIRUSHWA HEWANI: AGOSTI 21, 2026 L'articolo KIPINDI HEWANI: MAISHA NI SAFARI – BI JUMBE – 2 proviene da Radio Maria.
URAIBU: BAADA YA KUACHANA NA URAIBU WAKE AFANYE NINI
URAIBU: BAADA YA KUACHANA NA URAIBU WAKE AFANYE NINI Aug 25, 2026 55:31 KIPINDI HEWANI: URAIBU MADA:BAADA YA KUACHANA NA URAIBU WAKE AFANYE NINI MTOA MADA: PADRE RICHARD MATANDA TESHA L'articolo URAIBU: BAADA YA KUACHANA NA URAIBU WAKE AFANYE NINI proviene da Radio Maria.
IJUE AFYA: KUELEWA AFYA YA AKILI NA KUTOFAUTISHA NA UGONJWA WA AKILI
IJUE AFYA: KUELEWA AFYA YA AKILI NA KUTOFAUTISHA NA UGONJWA WA AKILI Aug 25, 2026 41:17 KIPINDI HEWANI: IJUE AFYA MTANGAZAJI:PETER NA WILSON KIMARO MADA:KUELEWA AFYA YA AKILI NA KUTOFAUTISHA NA UGONJWA WA AKILI MTOA MADA NI: DR ROSE CHARLES KUTOKA IDARA YA SAIKOLOJIA HOSPITALI YA RUFAA YA MOA IFAKARA KILIRUKA HEWANI: AUGUST 20 2026 L'articolo IJUE AFYA: KUELEWA AFYA YA AKILI NA KUTOFAUTISHA NA UGONJWA WA AKILI proviene da Radio Maria.
Malezi na Makuzi: Nafasi ya Mtoto wa Kiume Katika Jamii
Malezi na Makuzi: Nafasi ya Mtoto wa Kiume Katika Jamii Aug 25, 2026 42:50 Kipindi hewani: Malezi na Makuzi Mada:Nafasi ya Mtoto wa Kiume Katika Jamii Mwezeshaji ni Mwalimu Kusoka Waziri Kutoka Shule ya Sekondari Nyegina Jimbo Katoliki Musoma. Kilirushwa hewani: Agosti 20, 2026 L'articolo Malezi na Makuzi: Nafasi ya Mtoto wa Kiume Katika Jamii proviene da Radio Maria.
Chakula na Lishe: Ushiriki wa Wanaume katika Lishe ya Mama Mjamzito na Mama anayenyonyesha
Chakula na Lishe: Ushiriki wa Wanaume katika Lishe ya Mama Mjamzito na Mama anayenyonyesha Aug 25, 2026 52:33 Kipindi Hewani: Chakula na Lishe Mada:Ushiriki wa Wanaume katika Lishe ya Mama Mjamzito na Mama anayenyonyesha Mwezeshaji ni Bi Abela Twinomujuni Afisa Lishe Mwandamizi Mtafiti kutoka TFNC L'articolo Chakula na Lishe: Ushiriki wa Wanaume katika Lishe ya Mama Mjamzito na Mama anayenyonyesha proviene da Radio Maria.
Ijue Sheria: Mgawanyo wa Mali ndoa inapovunjika
Ijue Sheria: Mgawanyo wa Mali ndoa inapovunjika Aug 25, 2026 50:08 Kipindi hewani: Ijue Sheria Mtangazaji: Elizabeth Masanja Mada:Mgawanyo wa Mali ndoa inapovunjika Kilirushwa hewani: Agosti 17, 2026 L'articolo Ijue Sheria: Mgawanyo wa Mali ndoa inapovunjika proviene da Radio Maria.
Pro Life: Familia Tiba ya Majeraha ya Ulimwengu
Pro Life: Familia Tiba ya Majeraha ya Ulimwengu Aug 25, 2026 55:54 KIPINDI HEWANI: PRO LIFE Mada:Familia Tiba ya Majeraha ya Ulimwengu Mtangazaji: Elizabeth Masanja Kilirushwa hewani: Agosti 18, 2026 L'articolo Pro Life: Familia Tiba ya Majeraha ya Ulimwengu proviene da Radio Maria.
Je, kitu kinachoweza kukubalika na Jamii kinaweza kuwa na Madhara kwa Mtu?
Je, kitu kinachoweza kukubalika na Jamii kinaweza kuwa na Madhara kwa Mtu? Aug 25, 2026 56:43 KIPINDI HEWANI: URAIBU Mada:Je kitu kinachoweza kukubalika na Jamii kinaweza kuwa na Madhara kwa Mtu? Kilirushwa hewani: Agosti 18, 2026 L'articolo Je, kitu kinachoweza kukubalika na Jamii kinaweza kuwa na Madhara kwa Mtu? proviene da Radio Maria.
Fahamu mambo sita muhimu kuliko fedha
Fahamu mambo sita muhimu kuliko fedha Aug 20, 2026 25:52 Karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, tunaungana na Padre John Bosco, Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kilimahewa, Jimbo Kuu la Dar es Salaam akitutafakarisha juu ya mambo sita bora na muhimu kuliko fedha, umaarufu na madaraka. L'articolo Fahamu mambo sita muhimu kuliko fedha proviene da Radio Maria.
Fahamu umuhimu wa AMECEA 2026 kwa Vijana
Fahamu umuhimu wa AMECEA 2026 kwa Vijana Aug 20, 2026 52:47 Ungana nami Mtanagzaji wako Festo Chahali katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa akiendelea kutufundisha juu ya umuhimu wa Amecea 2026 kwa Vijana L'articolo Fahamu umuhimu wa AMECEA 2026 kwa Vijana proviene da Radio Maria.
Fahamu umuhimu wa Amecea 2026 kwa Vijana
Fahamu umuhimu wa Amecea 2026 kwa Vijana Aug 20, 2026 59:07 Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa akitufundisha juu ya Amecea na Vinaja. L'articolo Fahamu umuhimu wa Amecea 2026 kwa Vijana proviene da Radio Maria.
Je, unafahamu Tanzania kuna jumla ya Majimbo Katoliki Mangapi?
Je, unafahamu Tanzania kuna jumla ya Majimbo Katoliki Mangapi? Aug 20, 2026 54:07 Karibu uungane nami Paschal Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoka akiendelea kujibu maswali ya msikilizaji na moja la maswali hayo ni je, Tanzania kuna jumla ya majimbo mangapi Katoliki? L'articolo Je, unafahamu Tanzania kuna jumla ya Majimbo Katoliki Mangapi? proviene da Radio Maria.

Recommended