Home Podcasts Kisima cha Simulizi
Kisima cha Simulizi

Kisima cha Simulizi

Edward N. Nnko 8 Episodes Jun 3, 2026

Kisima cha Simulizi ni show ya kipekee inayokualika kuzama ndani ya ulimwengu wa hadithi zenye kusisimua, mafundisho, na burudani ya hali ya juu. Kila simulizi ni safari ya hisia, fikra, na ubunifu. Kuanzia visa vya kusisimua, hekaya za kuvutia, hadi simulizi za maisha halisi. Jiunge na Kisima cha Simulizi ujipatie dozi ya hadithi zitakazokuburudisha na kukuelimisha.

Episodes

Chozi la Doreen Episode 8
Chozi la Doreen Episode 8 Jun 3, 2026 317 Karibu tena mpendwa msikilizaji katika simulizi hii ya kusisimua
Chozi la Doreen Episode 7
Chozi la Doreen Episode 7 May 26, 2026 561 Karibuni sana tuendelee kufuatilia simulizi hii ya kusisimua.

Recommended