Home Podcasts Innocent Morris
Innocent Morris

Innocent Morris

Innocent Morris 119 Episodes Sep 9, 2026

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi. Podcast hii inalenga kukuza uelewa wa Biblia na kuimarisha maisha ya kiroho kupitia mafundisho na sala.

Episodes

MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris
MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris Sep 9, 2026 2913 Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe nguvu za kuvunja minyororo ya tabia mbaya na kutembea katika uhuru aliotupatia kwa njia ya Yesu Kristo.Mungu akubariki unapoomba maombi haya. Usisahau ku-like na ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokuj
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris Sep 4, 2026 2999  Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi  Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris Sep 2, 2026 1344  Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe s
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris Aug 31, 2026 4144  Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi.Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4  - Innocent Morris
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris Aug 27, 2026 4116  Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi nin
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris Aug 24, 2026 3989  Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi nin
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris Aug 20, 2026 5514  Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi nin
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris Aug 17, 2026 3661 Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi ni
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris Aug 10, 2026 3557  Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima tujifunze namna ya kuitumia kwa imani katika maisha yetu ya kila siku."Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa."Ufunuo wa Yohana 12:11Mungu akubariki unapofuatilia somo
THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris
THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris Jun 29, 2026 4635 Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza."Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake."Waefeso 1:7Mungu akubariki una
KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris
KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris Jun 24, 2026 3556 Katika somo hili, utajifunza KUSUDI LA DAMU YA YESU na kwa nini Yesu Kristo alilazimika kumwaga damu yake msalabani, kusudi la Damu ya Yesu linahusu matumizi ya nguvu ya kiroho ya damu hiyo ili kupata ushindi na ulinzi katika maisha ya kila siku. Misingi yake mikuu inajumuisha:Ukombozi na Msamaha: Damu ya Yesu ilimwagika ili kuondoa dhambi na kutoa mamlaka ya kushinda nguvu za giza.Ulinzi wa Kiroh
DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris Jun 1, 2026 3920 Karibu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect 

Recommended