
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Hiki ni kipindi cha Kikristo kinachowaelimisha watu kuhusu Neno la Mungu kwa kutumia Biblia. Kipindi hiki kinajikita katika mafundisho, maonyo, na maulizo kutoka katika Maandiko, hasa kwa wale wanaotarajia kwenda mbinguni. Lengo lake ni kuleta maarifa ya Biblia kwa Wakristo, kwa kusisitiza umuhimu wa kujua Neno la Mungu kama ilivyoandikwa katika 2 Timotheo 3:16-17 na Methali 12:1. Wasikilizaji wanakaribishwa kuuliza maswali yoyote kuhusu Biblia na kushiriki maoni yao.
Episodes
Sababu gani Yesu alipanda Punda kuelekea Yerusalemu?
Mafundisho kuhusu Pasaka, sikiliza hii ingine.
https://soundcloud.com/user-529110866/fundisho-kuhusu-pasaka?si=7d1a61d4053b4fb6851d3f5deb910b79&utm_source=clipboard&utm_medium=text&utm_campaign=social_sharing
TAJI AU THAWABU ZITAKAZOPEWA WATAKATIFU
1 Wakorintho 3:12-15
12 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri.
13 Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani.
14 Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapata thawabu.
15 Kazi ya mtu ikiteketea, atapata h
Itaji Wimbo Mpya Part 2
Zaburi 32:7
7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu.
Itaji limbo mpya ( Daniel 6 )
Itaji Wimbo Mpya Part 1.
Itaji Wimbo Mpya Part 1. by FUATA BIBLIA
Tunda La Roho ( UVUMILIVU )
Wagalatia 5:22-23
22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,
23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.











