Home Podcasts The Chanzo
The Chanzo

The Chanzo

The Chanzo 5 Episodes May 12, 2026

The Chanzo is a podcast featuring interviews, conversations and debate about the issues that matter most to people. It likely focuses on Tanzanian current affairs, society and public life. Episodes bring guests and hosts together to discuss pressing topics in a direct, conversational format.

Episodes

Mazungumzo na Jaji Warioba : Azungumzia Ripoti ya Chande, Hoja ya Maridhiano, Katiba Mpya, Aonya Kuzuia Mawazo: "Watanzania Wanaogopa"
Mazungumzo na Jaji Warioba : Azungumzia Ripoti ya Chande, Hoja ya Maridhiano, Katiba Mpya, Aonya Kuzuia Mawazo: "Watanzania Wanaogopa" May 12, 2026 02:47:25 Mazungumzo haya yalifanyika mnamo Mei 09, 2026, ambapo Jaji Joseph Warioba aliweza kupokea maswali kutoka kwa Mzee Jenerali Ulimwengu na khalifa Said. Moja ya mambo ambayo ameyasisitiza zaidi ni juu ya kufuta utaratibu wa kuzuia maoni katika jamii."Ukizuia kuzungumza, watu wanatafuta njia mbadala na njia mbadala huwa sio nzuri za chini chini, mimi ninachotaka tusifike huko. Sasa hivi kinachon
Kivulini Talks E04: Hali ya Vyombo vya Habari Tanzania—Hai, Hoi au Vimekufa?
Kivulini Talks E04: Hali ya Vyombo vya Habari Tanzania—Hai, Hoi au Vimekufa? Apr 21, 2026 00:55:42 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, washiriki wamejadili juu ya hali ya vyombo vya habari Tanzania.Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, tunachambua hali ya vyombo vya habari nchini Tanzania. Jopo lilijumuisha wadau mbalimbali wa sekta ya habari: Robert Majige, mwanasheria anayehudumu kama Kiongozi wa Sera na Teknolojia ya Kiraia katika Tech and Media Convergence; Rosemary Mwakitwange, mtend
Kivulini Talks E03: Mfumo wa Vyama Vingi Tanzania—Tujisahihishe au Kanyaga Twende?
Kivulini Talks E03: Mfumo wa Vyama Vingi Tanzania—Tujisahihishe au Kanyaga Twende? Apr 21, 2026 01:18:14 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks mjadala mzima unaangalia utendaji wa siasa za vyama vingi Tanzania toka kuruhusiwa tena Tanzania mwaka 1992.Wazungumzaji ni pamoja na Idrisa Kwaweta kutoka ACT Wazalendo; Nasra Mohamed, kutoka CCM, Nice Sumari kutoka CHADEMA. Washiriki wengine ni pamoja na: Bakran Awadh, Antipas Pamba, Aleki Nswila, Leonard Humphrey, Antony Severine, Ally Ibrahim Sadick,
Kivulini Talks E02: Hoja ya Maridhiano ni Funika Kombe Mwanaharamu Apite au ni Dhamira Njema?
Kivulini Talks E02: Hoja ya Maridhiano ni Funika Kombe Mwanaharamu Apite au ni Dhamira Njema? Apr 21, 2026 00:49:18 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks tumejadili dhana nzima ya maridhiano Tanzania, hasa baada ya matukio ya Oktoba 29. Kipindi hiki cha Kivulini kimehusisha Aleki Nswila ambaye ni Mwanasaikolojia, Dorcas Francis aliyekuwa mgombea wa jimbo la Kawe mwaka 2025, Muhemsi Mwakihelwo, mchambuzi na mwanaharakati pamoja na Tony Alfred K na Joel Ntile.
Kivulini Talks E01: Tanzania Baada ya Oktoba 29—Tunaendaje?
Kivulini Talks E01: Tanzania Baada ya Oktoba 29—Tunaendaje? Apr 21, 2026 01:19:36 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks tumejadili kuhusu muelekeo wa Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29. Kipindi hiki kilirushwa mnamo Februari 05, 2026, wazungumzaji wakuu wakiwa ni:Ms. Fortunata Kitokesya, Mwanasheria, mwandishi; Aida Kiangi, mtaalamu wa masuala ya biashara na uongozi, Dkt Muhidin Shangwe, Mkufunzi katika, Mhadhiri wa Siasa na Utawala wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Sal

Recommended