Home Podcasts HALISI CHATS
HALISI CHATS

HALISI CHATS

Anna Chinyoyo 5 Episodes Jul 24, 2026

Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️

Episodes

Yaelewe MADENI!
Yaelewe MADENI! Jul 24, 2026 2599 Tunazungumzia adhari za madeni, madeni mazuri na mabaya, faida za madeni, hasara za madenin namna ya kutumia madeni mazuri na namna ya kutoka kwenye madeni mabaya.
Fursa za Kilimo na teknolojia
Fursa za Kilimo na teknolojia Jun 10, 2026 2022 Tulizungumzia fursa kwenye kilimo, namna ya kutumia teknolojia hasa AI kupata faida kwenye ukulima.
Lets talk about money with the Money guy
Lets talk about money with the Money guy May 28, 2026 3036 We talk about personal finance and investing.
Biashara za huduma
Biashara za huduma May 14, 2026 3106 Marafiki wawili wakizungumzia transitioning from chuo to the job market to starting a business.
Ins and outs za Biashara
Ins and outs za Biashara Mar 31, 2026 3234 Kuanzisha na kuendesha biashara na Coach Gloria!
Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania
Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania Mar 30, 2026 2954 Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.
Basics za uwekezaji
Basics za uwekezaji Feb 25, 2026 2695 Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable.Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?

Recommended