
Sauti Ya Kinabi ni redio ya Kikristo yenye lengo la kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa kila pembe ya dunia. Inapatikana 24/7 kupitia Ukombozi FM Radio Geita na mtandaoni, ikicheza muziki wa injili na matangazo ya kujenga na kuthibitisha imani ya waumini.