Disciples_fellowship (DFM Radio) ni redio ya Kikristo yenye makao yake Dar es Salaam, Tanzania, inayotangaza kwa Kiswahili kupitia mtandao. Inalenga utume wa Kristo katika kujenga ufalme wa Mungu kwa mahubiri, ibada na muziki wa kiroho.