
Shekinah Presbyterian Radio ni radio ya Kikristo inayotangaza Injili kupitia mtandao kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Inaleta mafundisho ya Neno la Mungu, nyimbo za injili, maombi na vipindi vya kuimarisha imani kwa wasikilizaji popote walipo duniani.