Njiwa Online Radio ni redio mtandaoni inayomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini (MCT-SP). Inatangaza muziki wa injili, mahubiri, ibada na habari za kanisa kwa lugha ya Kiswahili kwa waumini na jamii kwa ujumla.