Nnunu FM ni kituo cha redio cha Kikristo kinachorusha kutoka Morogoro mjini, Tanzania. Kinamilikiwa na Sauti ya Uponyaji Media Group Limited na hutoa mahubiri, maombi na muziki wa injili kwa lugha ya Kiswahili.