
Radio Ahmadiyya ni idhaa ya Kiswahili ya Mtwara, Tanzania, inayojikita kutangaza mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu, mwongozo na masuala ya kiroho. Hutoa vipindi vya elimu na mahubiri pamoja na habari za michezo na masuala ya kijamii kwa wasikilizaji ndani na nje ya nchi.