Home Bunda Mazingira FM
Mazingira FM

Mazingira FM

Bunda 91.7 FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii, kilichoanzishwa Mwaka 2011. Kituo kinatangaza kutoka maeneo matatu ndani ya mkoa wa Mara (Bunda, Musoma na Tarime) na kinasikika katika mikoa ya Mara, Simiyu na Mwanza. Muundo wa vipindi ni 70% mazungumzo na 30% muziki.

Similar Stations

Radio Kicheko Live
Moshi · 91.1 FM
Radio Kwizera FM
Ngara · 97.7 FM
Radio Maarifa
Tanga · 105.3 FM
Zenji FM
Zanzibar · 96.9 FM
Standard Radio Tanzania
Singida · 90.1 FM
Sauti Ya Watanzania
Dar es Salaam
Pambazuko FM
Ifakara · 89.5 FM
SQF Radio
Arusha
Boresha Radio
Dar es Salaam