
GM FM Radio 97.3 ni kituo cha redio cha jamii kinachotangaza kutoka Nyakato, Musoma, Tanzania. Kinatoa habari, burudani, michezo, elimu na mijadala mbalimbali inayogusa maisha ya jamii ya Mkoa wa Mara, kikiwa na kauli mbiu "Tumekufikia kwa Kishindo".