
TANAPA PODCAST
Karibu katika Podcast rasmi ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), inayoangazia mazungumzo ya kina kuhusu Uhifadhi wa Maliasili zilizopo ndani ya Hifadhi za Taifa, Elimu ya Uhifadhi, Utalii pamoja na Fursa za Uwekezaji. Vipindi vya Podcast hii vinajadili mikakati ya uhifadhi endelevu, ukuaji wa utalii, na ushirikiano na wadau wa maendeleo kwa lengo la kuhakikisha Rasilimali za Taifa zinatunzwa kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Latest Episode
TANAPA PODCAST EPISODE 03 (25.08.2025)
Previous Episodes
- TANAPA PODCAST EPISODE 02 - Kazi mbalimbali zinazofanywa na TANAPA 18.08.2025
- Utangulizi kuhusu TANAPA na majukumu yake 11.08.2025
- Sikiliza promo ya Podcast ya TANAPA 08.08.2025