Radio Qiblatain FM 103.6 ni redio ya Kiislamu inayotangaza kutoka Iringa, Tanzania. Inalenga kuelimisha jamii kwa kutumia vipindi vya dini, habari, na mawaidha. Inajulikana pia kama Sauti ya Hekima.